Wawakilishi
wa Tanzania katika michuano ya kombe la shirikisho klabu ya soka ya
Yanga imepangwa kundi moja na timu ya Tp Mazembe.
Huku Kundi B likiwa na timu mbili za kutoka nchini Morocco ambazo ni Kawkab na Fus Rabat na pia kuna Etoile du Sahel ya Tunisia na Ahly Tripoli kutoka nchini Libya.
Mechi za Kwanza za makundi kwa zitachezwa kati ya Juni 17 na 19, na za Pili ni kati ya Juni 28 na 29,mechi za Makundi zitamalizika tarehe 23 na 24 Agosti na washindi wawili wa kila kundi kutinga nusu fainali.
0 comments:
Post a Comment