Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini ‘Upucat’ Mbilinyi ambaye atapanda uringoni katika mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basket Uhuru Dar es salaam.
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yako yanayoendelea katika shule ya msingu Uhuru Wasichana Dar es salaam .
0 comments:
Post a Comment