Comments


VYETI FEKI KWA WABUNGE LAWA GUMZO.


Moja ya stori kubwa May 29 2016 ni hii kutoka
gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari
‘ Sakata la vyeti feki lawa gumzo kwa wabunge’.
Gazeti hilo limeripoti kuwa siku moja baada ya
serikali kutangaza kuwa itachunguza uhalali wa
vyeti vya watumishi wa umma wakiwamo
wabunge, uongozi wa Bunge umesema hauna
kipingamizi kuhusu uamuzi huo.
Katika mahojiano na Nipashe Naibu Spika wa
Bunge, Tulia Akson alisema uongozi wa Bunge
hauna kipingamizi juu ya kukagua vyeti vya
elimu vya wabunge ingawa bado haujapewa
barua rasmi kuhusu uamuuzi huo.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system