Comments


MWANAMKE MMOJA ASHAMBULIWA NA MAMBA

Polisi kaskazini mwa Australia wanasema kuwa
mwanamke mmoja hajulikani aliko, baada ya
kushambuliwa na mamba alipokwenda
kuongelea usiku.
Mwanamke huyo na rafiki yake walikuwa katika
kidibwi chenye kina kifupi katika hifadhi ya
kitaifa ya wanyama pori ya Daintree.
Hifadhi hiyo ya taifa ipo katika maeneo ya
Queensland, nchini humo.
tukio hilo ni limetokea Jumapili jana, ambapo
hadi sasa inahofiwa kuwa huenda ameliwa na
Mamba.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system