Comments


SIFA 10 ZA MWANAUME AMBAZO KILA MWANAMKE HUKOSHWA KUWA NAYE JE WWE UNAZO HIZO SIFA ZISOME KISHA UJIANGALIE KUWA UNAZO


1. Mwanaume ambaye atamuheshimu, wanaume wengi hujiona wao kuwa ni bora zaidi ya wapenzi wao na kuwaona wapenzi wao kuwa ni kifaa cha mapenzi tu.
2. Mwanaume mwenye upendo wa dhati, unaweza kuwa na mali kama magari, majumba na visitoshe kumfanya mwanamke awe na furaha na uhusiano zaidi ya mapenzi ya dhati.
3. Mwanaume ambaye atamlinda na pia atakaye mwamini kuwa anaweza kukabiliana na shida ambazo mwanamke atakabiliana nazo sio lazima katika mali bali hata  hari pia.
4. Mwanaume ambaye atajivunia kuwa nae kutokana na uhamasishaji (public figure) kwa watu wengine haijarishi katika namna gani ili mradi iwe namna ambayo itakuwa na malengo mazuri kwa jamii mfano, mfanyabiashara mkubwa, anaejiheshimu, mpambanaji n.k
5. Mwanaume mwenye shauku kwa sababu wanawake wengi huongea sana na hupenda kuongea na wanaume zao sasa usipokuwa na shauku unamkatisha tamaa.
6. Mwanaume mwaminifu na ambaye atamtegemea, haijalishi mwanamke anafanya kazi au la anahitaji uaminifu wako na msaada wako katika nyakati zote.
7. Mwanaume muungwana. Uungwana ni kitu kizuri na huvutia watu wengi na sio alama ya udhaifu kama inavyodhaniwa na watu wengi.
8. Mwanaume mwenye msimamo na mwenye kufanya maamuzi yake mwenyewe na sio mwenye kutegemea maamuzi ya familia yake au wenzake.
9. Mwanaume mwenye malengo, mwanaume ambaye huna malengo na kesho yako na huna mipango yoyote sio chaguo la mwanamke na utaishia kuwa na wapenzi tu na sio mke.
10. Mwanaume mwenye mtazamo chanya wa maisha na sio yule anayefikiria kubadilisha mitindo ya nguo na ya nywele kila kukicha pasipo kujituma.

- See more at: http://kumimuhimu.com/2014/12/04/mwanaume-mwenye-sifa-hizi-kumi-10-ndio-chaguo-sahihi-la-kila-mwanamke-jiulize-we-una-sifa-ngapi-kati-ya-hizi/#sthash.XwOyBcst.dpuf
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system