Comments


WANAHABARI WA AJTC WATAKIWA KUFUATA MAADILI

Bw.Emmanuel Msigwa akizungumza Na wanahabari wa ajtc. Wakati wa fainali ya kutafuta darasa bora la utangazaji ndani ya Chuo hicho.
Be msigwa amewataka wanafunzi katika Chuo hicho kujifunza lugha kwa ufasaha zaidi hasa lugwa mama ya kiswahili kwani lugha ni yamuhimu Sana kuifahamu hasa katika tasnia ya habari
Pia amewataka wanahabari hao ambao bado wapo masomoni kuzingatia maadili. Ya kile wanachokisomea
Ambap ameshuhudia darasa la ngorongoro likiibuka kidedea kwa kutwaa kombe pamoja Na sh 150000
Huku mshindi wa pili akiwa ni Kilimanjaro akichukua sh 100000
Na mshindi wa tatu akiwa ni Serengeti kwa kuchukua sh 75000.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system