Comments


Point 1 yawapa Barcelona Ubingwa msimu 2015/2016 katika Ligi ya Spain (La liga)

Luis Enrique's side were crowned champions on Saturday but have been forced to wait before picking up the league trophyLuis Suarez leaps into the air to celebrate doubling Barcelona's lead as they secured a second La Liga title in a row on Saturday
Suarez celebrates with his team-mates after scoring Barcelona's first goal at Estadio Nuevo Los Carmenes on Saturday
Barcelona players celebrate after the final whistle as hundreds of fans invaded the pitch following their latest league title win
Wachezaji wa Barcelona wakifurahia mara baada ya kutwa kombe la ligi hii leo

michezo miwili yakuamua nani atakuwa mshindi wa kombe hilo kwa msimu wa 2015/2016 ilichezwa masaa sawa, Granada walikuwa wenyeji wa Barcelona wakati wapinzani wao Real Madrid walikuwa wakikipiga na klabu ya Deportive La Coruna.

Mchezo wa Granada Vs Barecelona ulimalizika kwa Barcelona kuibuka na ushindi wa jumla ya magoli 3-0 magoli ambayo yalifungwa Luiz Suarez katika dakika ya  22, 38, 86 ya mchezo na kuifanya Barcelona kuibuka na ushindi kwenye Mchezo huo.

Mchezo wa pili ulikuwa kati ya Deportive La Coruna dhidi ya Real Madrid ambapo Real Madrid walifainikiwa kuondoka na ushidhi wa Magoli 2-0 magoli yaliyofungwa na Cristian Ronaldo katika dakika ya 7, 25 ya mchezo.
kwa hali hiyo barcelona wanaibuka mabigwa kwa point moja 

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system