Comments


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick, azindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick, azindua michezo ya COPA UMISSETA kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akikagua moja ya timu iliyoshiriki mashindano ya uzinduzi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akipiga mpira wa penati wakati akizindua michezo ya Shule za Sekondari( COPA UMISSETA)kitaifa kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika,mjini Moshi ambayo mwaka huu michezo hiyo imedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.
 Wanafunzi wa Shule za Sekondari Reginald Mengi na Northern Highland wakichuana kwenye
uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa uzinduzi wa michezo ya Shule za Sekondari ya COPA UMISSETA kitaifa mkoa wa Kilimanjaro.Mashindano haya mwaka kuu yanadhaminiwa na kampuni ya Coca Cola.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick akihutubia wananchi waliohudhuria uzinduzi wa mashindno hayo
Baadhi ya walimu wa shule za sekondari waliohudhuria uzinduzi huo wakipunga mkono wakati wa zoezi la utambulisho .
 Afisa Masoko wa Kampuni ya  Coca Cola,Mariam Sezinga akiongea wa waandishi wa habari wakati wa hafla hiyo.
Zawadi.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system