Msanii wa bongo Movie Wastara Juma afunguka juu ya stori zinazozagaa
katika mitandao mbalimbali ya kijamii na magazeti ya udaku kuwa hataki
tena Ndoa.
Akizungumza na Enewz Wastara alikanusha tuhuma hizo na kusema kuwa ndoa
yake na mheshimiwa ilikua imejaa timbwili timbwili na makubwa mpaka
ikapelekea akadai talaka na baada ya mheshimiwa kusanda pia wametokea
wengi kutaka kumuoa bila kujali hali yake.
“Kusema sitaki ndoa ni kitu ambacho hakiwezekani isipokuwa tu kwamba
kila hatua moja ninavyopiga najifunza kutokana na makosa mimi nikisema
sitaki tena mapenzi nitakuwa namkufuru mungu nikitaka kuolewa nitaolewa
tu muda wowote”,alisema Wastara
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment