![]() |
Raphael Varane |
Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa
Raphael Varane ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya nchi
hiyo.Varane hajajumuishwa kwenye kikosi kitachoshiriki michuano ijayo ya
Euro itayoanza mwezi June kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama
za paja.
Mchezaji huyu atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu mpaka nne na nafasi yake kwenye kikosi cha taifa imechukuliwa na beki wa Adil Rami, mwenye umri wa miaka 30 anayeichezea timu ya Sevilla ya nchini Hispania.
0 comments:
Post a Comment