View image on Twitter
![]() |
Follow
My last game tomorrow at Parc des Princes. I came like a king, left like a legend
|
Kwa
kipindi cha miezi isiyopungua miwili kumekuwepo na tetesi ambazo
zinamuhusisha mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic kuondoka ndani ya
klabu hiyo lakini mwenyewe akiwa bado hajathibitisha hilo.
Leo kwa mara ya kwanza mshambualiji huyo wa zamani wa vilabu vya AC Milan na Barcelona amethibitisha kuwa ataondoka PSG.
Ibrahimovic
amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambao aliweka picha
ya uwanja wa PSG na kuandika “Mchezo wangu wa mwisho kesho Parc de
Princes, nilikuja kama mfalme naondoka kama mkongwe”
0 comments:
Post a Comment