Comments


John Terry alamba mkataba mpya wa mwaka mmoja.

Captain wa klabu ya Chelsea John Terry amepewa mkataba mpya na klabu hii na mkataba huu ni wa mwaka mmoja. Terry, 35, anamaliza mkataba wake january mwakana na aliwahi kusema hataendelea kukaa Chelsea.
Msemaji wa Terry anasema “msemaji wake alisema haya ni maamuzi magumu kwa John Terry na familia yake na wanafikiria kwanza”
Chelsea itasimamiwa msimu ujao na boss mpya ambaye ni Antonio Conte anayechukua mikoba ya Guus Hiddink, aliyechukua nafasi ya Jose Mourinho.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system