Comments


MASHINDANO YA UTANGAZAJI YAZIDI KUSHIKA KASI

Mkamu mkuu wa chuo na uandishi wa habari na utangazaji Arusha akinzindua mashindano ya utangazaji chuon hapo



Mashindano ya utangazaji yaanza rashi katika chuo na uandishi wahabari huku ikiwa lengo kuu ni kukuza vipaji vya wanafunzi kwani inafaamika kuwa mashindano ndio nyanja muhimu inayo wapeletekea watu kuwa na ufanisi mkubwa wa kazi 
Kwakawaida swaala la mashindano ya utangazaji ilimekuwa likipewa kipaumbele kwani kilamwaka mashindano haya huanzishwa 


 moja ya wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha akiwa studio kwa lengo la kurusha vipindi mbalimbali 

Hatahivyo inafaamika kuwa mashindano nikitu muhimu katika kuleta maendeleo hivyo chu kimeweka mikakati mbalimbali ya kuwawezesha au kuwa pongeza wale wote watakao fanya vyema katika mashindano hayoi

wanafunzi wakisikiliza vipindi mbalimbali viki wakilishwa katika studio za AJTC
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system