Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu. Dalili kuu za ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume ni kufika kileleni haraka na kushindwa kurudia tendo zaidi ya mara moja.
HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo, ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume. Taarifa inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka. Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya huume kusimama.
Ni muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine za mwili.
N.B: Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU.
Uume ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya damu kutoka kwenye uume.
Endapo mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na utasinyaa mara moja.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Ili kufahamu kuhusu tiba asilia ya tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, ni vyema kwanza ukajua chanzo pamoja na dalili za ukosefu wa nguvu za kiume na jinsi ambavyo tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume hutokea.
Kufahamu kuhusu chanzo cha tatizo la ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na dalili za ukosefu & upungufu wa nguvu za kiume na jinsi tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume linavyo tokea, tafadhali tembelea :
Tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume hutibiwa na kuponyeshwa kabisa kwa kutumia dawa asilia iitwayo JIKO. JIKO hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
JINSI DAWA ASILIA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI
Dawa ya JIKO hutibu na kurekebisha hitilafu zote zilizopo katika mfumo wa nguvu za kiume . Kufahamu zaidi kuhusu jinsi dawa ya JIKO inavyo tibu tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, tafadhali tembelea :
BEI YA DAWA: Dozi ya dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya dawa ya JIKO, inatolewa na duka la dawa asilia la NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la UBUNGO nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Kwa wasio weza kufika ofisini kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja waliopo nje ya DAR ES SALAAM, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi, wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya boti na kwa wateja waliopo UGHAIBUNI, watatumiwa dawa kwa njia ya DHL au POSTA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA :0766 53 83 84.
Na kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu, endelea kutembelea:
0 comments:
Post a Comment