Comments


HUYU HAPA MCHEZAJI BORA WA MEI VPL.

Mshambuliaji Abdulrahman Musa wa JKT Ruvu ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Mei 2016. Musa katika kinganyiro hicho ...
Read More

ACT KUWAPOKEA WALIOSIMAMISHWA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE

Baada ya kutoka kwa taarifa kuwa wabunge Zitto Kabwe na Halima Mdee kuzuiliwa kuingia bungeni katika bunge la bajeti, Chama cha ACT-Wazal...
Read More

MWANAMKE MMOJA ASHAMBULIWA NA MAMBA

Polisi kaskazini mwa Australia wanasema kuwa mwanamke mmoja hajulikani aliko, baada ya kushambuliwa na mamba alipokwenda kuongelea usiku....
Read More

WANAHABARI WA AJTC WATAKIWA KUFUATA MAADILI

Bw.Emmanuel Msigwa akizungumza Na wanahabari wa ajtc. Wakati wa fainali ya kutafuta darasa bora la utangazaji ndani ya Chuo hicho. Be msigw...
Read More

VIROBA VYAPIGWA MARUFUKU

Mifuko ya plastiki inayofungasha pombe maarufu kama ‘viroba’ imepigwa marufuku na Serikali kuanzia mwakani. Sambamba na hilo Serikali pia...
Read More

POLISI WAZIDI KUUMIZA KICHWA MAUAJI YA DADA WA BILIONEA MSUYA.

Ikiwa bado kuna sintofahamu ya chanzo cha mauaji ya dada yake bilionea Erasto Msuya, Anneth, Polisi wamesema hawajabaini sababu za awali ...
Read More

MTOTO WA MIAKA MINNE ATEKETEA KWA MOTO MWANZA.

MTOTO Vestina Masolwa (4) wa kitongoji cha Nyamungu– Mwabagole katika kata ya Mwangalangha tarafa ya Ndugu wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza...
Read More

WANAFUNZI 7000 WAREJESHWA NYUMBANI UDOM.

Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimewasimamisha masomo zaidi ya wanafunzi 7,000 wa kozi maalumu ya ualimu wa sayansi kwa ngazi ya stashahada...
Read More

VYETI FEKI KWA WABUNGE LAWA GUMZO.

Moja ya stori kubwa May 29 2016 ni hii kutoka gazeti la Nipashe yenye kichwa cha habari ‘ Sakata la vyeti feki lawa gumzo kwa wabunge’. ...
Read More

ANUSURIKA KUFA MARA BAADA YA KIUJIRUSHA KUTOKA JUU YA MNARA WA SIMU

Kijana Mmoja (pichani aliyeshikiliwa ) ambaye jina lake halikupatikana kwa haraka, mkazi wa Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya k...
Read More

VIMINI ,PEDO,T SHIT JEANS MARUFUKU SEHEMU za kazi

  HALMASHAURI ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, imepiga marufuku watumishi wote wa halmashauri hiyo kuvaa mavazi ambayo hayana maadil...
Read More

VIONGOI WA DINI WAOMBWA KULIOMBEA TAIFA

Mwenyekiti  wa CCM wilaya ya Singida, Narumba Hanje, amewashauri viongozi wa madhahebu ya dini mbalimbali kutenga muda wakati wa ib...
Read More

Maonyesho ya bidhaa za Plastiki , kufikia tamati kesho Mei 29

Maonyesho ya bidhaa z Plastiki yaliyoanza jana Mei 27.2016  katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam yanatarajia kufik...
Read More

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system