Comments


UNATAKA KUJUA MOURINHO ATAJIUNGA NA KLAB GANI MSIMU UKIISHA

Ukimuuliza Jose Mourinho atajiunga klabu gani mwisho wa msimu, tegemea jibu hili kutoka kwake



Siku kadhaa zimepita toka mtandao wa bleachereport.com uandike habari za Jose Mourinho kuomba uongozi wa Man United waingie makubaliano ya maandishi ya kumthibitishia kuwa watampa mkataba wa kuwa kocha wa Man United mwishoni mwa msimu.

Kauli hiyo ya Mourinho ilitafsirika kama Jose Mourinho kaogopa baada ya kusikika tetesi kuwa kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson anamuunga mkono Louis van Gaal aendelee kuifundisha Man United msimu ujao tena. April 8 2016 kama utakuwa unafikiria Jose Mourinho kafuta kauli yake ya kurudi katika soka mwisho wa msimu unakosea.

“Nakuhakikishia kuwa mwisho wa msimu nitarudi kufundisha soka kama kawaida, ninazo ofa nyingi kutoka vilabu mbalimbli, kuhusu nitajiunga na klabu gani? tusubiri hadi mwisho wa msimu kwani ni suala la kufikiria na kujadili ofa zilizokuja ila mwishoni mwa msimu kila mmoja atajua najiunga klabu gani” >>> Jose Mourinho

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Jose Mourinho alifukuzwa kazi na Chelse
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system