Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa
harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi
kumliza.
Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili
kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na
ikawa poa.
Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha
kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye
game.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment