Comments


YAYA TOURE KWAHERI MAN CITY



Baada ya hivyo vichwa vya habari, taarifa iliyothibitishwa April 4 2016 na wakala wa Yaya inasema hivi >>> ‘Tumesubiri kwa muda mrefu lakini Man City hawajatekeleza chochote kwenye ahadi walizotoa kwahiyo Yaya ataachana na hii club June‘ 
Yaya
Yaya amekasirishwa lakini yeye ni mchezaji Professional hivyo ataendelea kushiriki kwa ubora wake chini ya mkataba wa Manchester City mpaka akiondoka‘ –Wakala Dimitri Seluk
Option kubwa aliyonayo Yaya Toure aliyejiunga na City mwaka 2010 akitokea FC Barcelona inatajwa kuwa Inter Milan ambayo iko chini ya kocha Roberto Mancini japokuwa mchezaji huyu amekua na ofa nyingi kwenye meza na inabaki yeye tu kuchagua.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system