Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Star
Times Bw. Leo pamoja na Nwanko Kanu Balozi wa Star Times Afrika na
Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya taifa ya
Nigeria wakikata utepea kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la Star Times
lililopo katika jengo jipya la Mkuki Mall jijini Dar es salaam, Nwanko
Kanu aliwasili jana usiku kwa ajili ya sshughuli mbalimbali za kampuni
ya Star Time hapa nchini.
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu
ya taifa ya Nigeria akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Star Times nchini Tanzania Bw. Leo mara baada ya kuzindua duka hilo.
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Star Times nchini Tanzania Bw. Leo mara baada ya kuzindua duka hilo.
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akielekea kwenye eneo la mkutano na Kaimu Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Star Times nchini Tanzania Bw. Leo pamoja na
maofisa mara baada ya kuzindua duka hilo.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Star Times nchini Tanzania Bw. Leo akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya uzinduzi huo huku Nwanko Kanu akisikiliza kushoto
ni Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif .
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuzindua duka
hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Star Times wakiwa katika mkutano huo.
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
uzinduzi huo, Kushoto ni Makamu wa Rais wa kampuni ya StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif .
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akipiga picha ya pamoja na uongozi wa kampuni ya Star
Times na uongozi wa jengo la Mkuki Mall na wafanyakazi wake.
Nwanko Kanu Balozi wa Star Times
Afrika na Mchezaji wa zamani wa timu ya Asernal ya Uingereza na timu ya
taifa ya Nigeria akipiga picha ya pamoja na uongozi wa kampuni ya S
0 comments:
Post a Comment