Comments


SEMINA YA UJASIRIAMALI YAANZA RASMI HII LEO KATIKA KUMBI ZA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGZAJI ARUSHA {AJTC}

  


Mkurugenzi wa mfunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha [AJTC] Bwana Joseph Mayagila akimkaribisha mgeni rasmi Bwana Samwel Senyege katika semina hiyo  iliyoanza hii leo katika ukumbi wa chuo hicho.

Mgeni rasmi  bwana Samwel Senyege akitoa utangulizi mfupi katika semina ya ujasiriamali iliyofanyika katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha {AJTC} hii leo.

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha [AJTC] wakifuatilia kwa umakini mafunzo ya ujasiriamali yanayoendelea hii leo katika ukumbi wa chuo hicho
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system