Sir Alex Ferguson ni Mwalimu wa walimu wa Soka Duniani kwa upande wa makocha mzee huyu alichukua makombe matatu 1999 alipo ilaza Bayern Munich kuchukua UEFA na akachukua EPL pamoja na FA,wakati huo Eric Cantona,Ole Gunner Solskjaer, Poul Sholes na Giggs na wengine wengi hapo jina la SIR ndipo alipobatizwa rasmi na Malkia Elizabeth wa Uingereza.
AMESEMAJE FERGUSON?FERGUSON AND MOURNHO
Amesema kupitia Manchester Evening ameitaka Bodi ya Manchester United kutaka kumleta Jose Mourinho ni jambo muhimu sana mwanzo aliwahi kusema kuwa Giggs achukue timu mara baada ya Moyes na Van Gaal kufanya vibaya lakini sasa amehamishia kwa Mourinho na kuomba uongozi uchukue hatua ya kumleta Old Traford.
HASARA ZA KUCHAGUA
Mwaka ana staafu soka 2012 alimchagua David Moyes kuwa kocha wa timu hiyo ambayo alishindwa na kuvunja rekodi mbaya kuwahi kutokea,Moyes ni Mscotish watu walisema kavuta dili kwa ndugu yake hii ili kuwa ni hasara kubwaa kwa timu hiyo.
FAIDAFERGUSONNN
Ni kocha mzuri na anaipenda timu hiyo mara nyingine ana mawazo ambayo yana tija katika timu hiyo anajua timu hiyo mwanzo mwisho ukiangalia Mourinho ni mtu wa mafanikio ya haraka akija ataweza kuleta mabadiliko haja wahi kufeli msimu anao ingia ila unao fuata lazima afeli.
0 comments:
Post a Comment