Comments


SUMAYE AFUNGUKA

Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumayeleo,
katika ukumbi wa hoteli ya African Dream
mjini Dodoma, amesema ameshangazwa na
kitendo cha utawala wa rais Magufuli
kutumia nguvu nyingingi kukandamiza uhuru
wa maoni kwa kuwa yeye ni mtu
aliyechaguliwa kwa njia ya demokrasia
ambapo maoni tofauti yanakuwepo na
yanaruhusiwa kusemwa
Amesema vitendo hivyo badala ya kuleta
amani na utulivu katika jamii ndio vinazidi
kuleta hasira na chuki.
Ameongezea kusema kama rais hataki
kusemwa basi atangaze rasmi kuwa yeye ni
dikteta na atakaye mkosoa atakatwa kichwa
au kutupwa gerezani

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system