Comments


MURRAY MIKONONI MWA KOCHA WAKE TENA

Mchezaji Tenisi Andy Murray hatimaye
anaungana tena na kocha wake wa zamani Ivan
Lendl kabla ya michuano ya Aegon .
Murray mwenye miaka 29, amekuwa bila kocha
huyo muda mfupi kabla ya kuanza kwa michuano
ya wazi ya ufaransa mwezi uliopita.
Mskoti huyo akiwa na kocha Ivan Lendl alishinda
michuano ya wazi ya Wimbledon na Michuano ya
wazi ya Marekani ya Olimpiki katika kipindi cha
miaka miwili 2012-2014.
Lendl ni mshindi namba moja duniani na mshindi
wa wa mara nane wa Grand Slam na amekuwa
mtumishi katika chama au shirikisho la Tenisi la
Marekani.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system