Comments


ZIFAHAMU SHERIA 10 ZA MSWAKI


1. Msishirikiane mswaki, mswaki unatakiwa utumike na mtu mmoja tu.
2. Safisha mswaki kwa maji ya bomba kwani yale ndio yanakuwa na kasi nzuri ya kuweza kuondoa wadudu kwenye mswaki.
3. Usihifadhi mswaki katika chombo kilichofungwa kwani utashindwa kukauka na kuua wadudu.
4. Badili mswaki wako kila bada ya miezi mitatu (3)
5.Usiweke mswaki chooni, kwa sababu chooni kuna bakteria ambao husababisha magonjwa
6. Piga mswaki kwa muda wa dakika 2 na kuendelea.
7. Hifadhi mswaki wako kichwa kikiwa juu ili kuuwezesha kukausha maji yaliyopo kwenye brashi.
8. Hifadhi mahali ambapo haitagusana na miswaki mingine hii itasaidia kutokuambukizana magonjwa.
9. Usichanganye mswaki na dawa za kufanyia usafi kwani nyingi huwa na kemikali ambayo inaweza kukusababishia madhara.
10. Usichanganye mswaki na vitu vya jikoni kama sufuria na vitu vinginevyo.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system