Yusuf Manji ameshinda nafasi ya uenyekiti wa
Yanga kiulaini kutokana na kutokuwa na
mpinzani kwenye nafasi hiyo hivyo kupita bila
kupingwa kwenye nafasi ambayo alikuwa
akiitetea.
Matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu wa 2016
uliofanyika June 11 2016 katika ukumbi wa
Diamond Jubilee Dar es Salaam yametangazwa
leo June 12 2016, ambapo Yusuph Manji na
Clement Sanga ameibuka kidedea ambapo Manji
kashinda kwa jumla ya kuraza ndio 1468, hapana
0 na kura zilizoharibika zilikuwa 2.
kwa upande wa makamu wake Sanga
ameshinda kwa jumla ya kura 1428 kati ya kura
1508 zilizopigwa huku mpinzani wake Titus
Ossoro akipata kura 80 pekee
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment