.
Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya
tendo la ndoa, ubongo hutoa ishara kwenye
mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo
husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa &
misuli ya uume.
Mishipa ya uume inapopokea taarifa hiyo,
hutanuka. Na mishipa ya uume inapotanuka,
hufanya mambo mawili muhimu sana :
i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na
hivyo kuruhusu damu kuingia kwa kasi
sana ndani ya mishipa ya uume na hivyo
kuufanya uume usimame na kuwa imara
bara bara.
ii. Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na
hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu
iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. (
KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO
KARIBU NA MISHIPA YA UUME NI
KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA
MISHIPA YA UUME. HIVYO BASI DAMU
INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME,
MISHIPA YA VENA HU “SENSE” JAMBO
HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA
DAMU HIYO KUTOKA KWENYE MISHIPA YA
UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA
UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI
YA MISHIPA YA UUME, HUUFANYA UUME
KUSINYAA NA KULEGEA )
Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo
yafuatayo katika mwili wake :
1. Huuwa nguvu ya mishipa & misuli ya
uume ambayo ndio inayo husika na
kusimama kwa uume
2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na
kukosa nguvu yake ya asili, husababisha
mambo yafuatayo :
i.Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya
uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo
wafanya waathirika wa punyeto kutumia
nguvu nyingi sana katika kuufanya uume
usimame.
ii.Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya
uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena,
na hii ndio sababu inayo fanya waathirika
wa punyeto kufika kileleni haraka sana,
kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya
uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi
sana.
Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli
ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya
vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano
wowote ule hufanya mishipa ya vena
kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye
mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume
kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache
sana.
3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa
na kurudi ndani na kuufanya uonekane kama
uume wa motto mdogo.
Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa
nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :
i.Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa
ya uume, ambayo ndio hufanya uume
kusimama.
ii.Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa
ya ateri, ambayo ndio hutumika kama njia
ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli
ya uume na ivyo kuufanya uume usimame
iii. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa
mishipa ya vena na hivyo kusababisha
damu kufyonzwa kwa haraka sana kila
iingiapo ndani ya misuli ya uume na
matokeo yake ni uume kusimama kwa
muda mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.
iv. Punyeto huathiri mtiririko wa damu
kwenda kwenye mishipa ya uume, kwa
sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya
uume pamoja na mishipa ya ateri ambayo
ndio hutumika katika kusafirisha damu
kwenda kwenye uume
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA
PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto
ni kama ifuatavyo:
i. Uume kusinyaa na kuwa kama wa
mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa
tendo la ndoa.
TIBA YA NGUVU ZA KIUME KWA MTU
ALIYE ATHIRIKA NA PUNYETO.
Dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo
JIKO ni tiba bora na ya uhakika kabisa
kwa mtu aliye athiriwa na punyeto. Dawa
hii, pamoja na mambo mengine mengi,
husaidia kufanya mambio yafuatayo katika
mwili wa mwanaume aliye athiriwa na
punyeto :
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment