Comments


MABONDIA IBRAHIM TAMBA NA HUSSEIN ITABA KUZICHAPA JULAI 16

MABONDIA Ibrahimu Tamba na Hussein Itaba
wametia saini ya kuzipiga siku ya julay 16
katika ukumbi wa travertain Magomeni
akizungumza wakati wa utiaji saini wa mikataba
hiyo promota wa mpambano huo Dotto Tesax
amesema ameamua kuwakutanisha mabondia
hawo ambao ni mahasimu katika kitongoji cha
manzese kutaka kujua ni nani zaidi kati yao
mabondia hawo wamekuwa wikitambiana kila
kona wanazopita sasa katika kutaka kujua nani
zaidi nimeambua kuwandalia mpambano uho
ambao utafanyika siku ya julay 16 katika kumbi
wa Traveltain magomeni
hivyo napenda kuwambia mashabiki wa mchezo
wa masumbwi kujitokeza kwa wngi siku hiyo
ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya
utangalizi ambayo tutawatangazia kadri muda
utakapo wadiwa
baada ya kukutanishwa kwa mara ya kwanza
mabondia hawo kila mmoja alikuwa na lake la
kusema kwa ajili ya kutamba bondia Itaba
amesema anashukuru sana kukutanishwa na
Tamba kwa kuwa alikuwa ana usongo nae kwa
mda mrefu
nae Tamba alijibu mapigo kwa kusema kuwa
yeye awezi kupigwa na bondia mgeni katika
anga za masumbwi kwa kuwa mpaka sasa ana
mechi chache sana katika gem hii hivyo sitarajii
kupoteza mchezo wangu kwake nawaomba
mashabiki zangu waje kwa wingi waone ninavyo
mgalagaza Itaba bila huruma na sito jari
chochoto wakati nipo ulingioni kwani mikono
yangu itaongea wakati nipo uringoni
Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD
za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na
kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua
zikisambazwa na kocha wa mchezo huo mkoa wa
kimichezo wa Ilala Rajabu Mhamila ‘Super D’
kwa ajili ya kuwapa mambondia mbalimbali
mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za
masumbwi.
Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd
Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na
wengine ambapo kutakuwa na matukio ya
mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe
kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na
mapambano makubwa matano ya utangulizi.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system