Comments


MAANDALIZI YA SABA SABA YAANZA

MAB1Banda la maonesho la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi likiwa limeanza rasmi kutoa huduma katika viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere vya Sabasaba Dar es salaam.
MAB2Baadhi ya Wananchi wakipata maelezo ya huduma za mipango miji zinazosimamiwa na Wizara ya Ardhi.
MAB3Muoneshaji wa Wizara ya Ardhi bi. Mwanamkuu Ally akiwapa maelezo wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Ardhi kifaa kinachotumika katika upimaji wa Ardhi cha aina ya Total station.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system