Comments


BODI YA FILAMU YAMPA MSAADA WAKONTA

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo akikabidhi msaada wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.

Wakonta Kapunda akimshukuru Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania , Joyce Fissoo kwa msaada wa shillingi laki 5 Jijini Dar es Salaam.  
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania,  Joyce Fissoo (kulia) akizungumza na familia ya Wakonta wakati wa kukabidhi msaada wa sh 500,000/= kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system