Hatimae mambo yote yawahadharani mara baada ya paul Pogba usiku wa kuamkia hii leo kukamilisha usajili wake wa kujiunga na manchester united akitokea juventus.
pogba anatarajia kufanya vipimo vya afya hii leo pale Los Angeles ambapo manchester united wapo kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu soka pale uingereza
Ikumbukwe kwamba Pogba anarejea tena Nyumbani mara baada ya kuihama timu hio mwaka 2012kwa kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya meneger wa timu hio Sir ALEX FERGUSON
|
Paul Pogba atafanya matibabu yake hii leo pale Los Angeles ili kuweza kujiunga na wekundu hao |
|
Pogba aliondoka manchester united kama mchezaji huru mnamo mwaka 2012 baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza |
|
pogba amesaini mkataba wa miaka mitano na atakuwa akilipwa £290,000 kwa week |
0 comments:
Post a Comment