
Watu wengi husumbuliwa na ugonjwa wa mba kichwani na mara nyingi mba huwatokea nyakati za baridi kwani kichwa huwa ni kikavu sana; kama unasumbuliwa na hilo tatizo unatakiwa kuwa makini na mafuta unayotumia na kuhakikisha unatumia mafuta kila unapoosha nywele zako.oranges

Chukua chungwa limenye upate maganda yake baada ya hapo chukua limao likamue kisha uweke kwenye brenda usage upate mchanganyiko mmoja.lemon

Osha nywele zako kwanza zitakate na baada ya hapo zikaushe kisha paka mchanganyiko wako kwenye ngozi acha kwa muda wa dakika 20-25 kisha osha kwa kutumia shampuu unayotumia ambayo unaamini ni nzuri.ORANGE
Tumia tiba hii kwa wiki mara tatu utaona jinsi utakavyokomesha moja kwa moja tatizo la mba kichwani.
0 comments:
Post a Comment