Comments


UVUNJAJI WA SHERIA

Mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda akipita katika barabara ya mabasi yaendayo kasi katika eneo la Makutano ya barabara ya Bibi Titi Mohamed na Morogoro eneo la Akiba, jijini Dar es Salaam ikiwa ni makosa kupita katika barabara hiyo. Aidha kosa lingine la dereva huyo ni kutovaa kofia ngumu kama sheria ya usalama barabarani.
Mkazi wa Dar es Salaam, akisubiri kuvuka katika barabara ya Morogoro inayotumika na mabasi ya mabasi ya mwendokasi huku kibao cha alama za barabarani kikiwa kimegongea.
Kibao hiki kinahitaji marekebisho ili kiendelee kusaidia kuongoza madereva.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system