Mshambualiaji mpya wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic kwa mara ya kwanza ameungana na wachezaji wenzake wa klabu hiyo ya Uingereza na kufanya mazoezi kwa pamoja.
Ibrahimovic amejiunga na Manchester United akitokea PSG ya Ufaransa baada ya mkataba na timu hiyo kumalizika.
0 comments:
Post a Comment