MH Nchemba ameyasema hayo hii leo wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya viongozi wakuu wa Agape (WUEMA)SANCTUARY MINISTRIES INTERNATIONAL TANZANIA
Askofu mkuu wa kanisa ;la Agape ASKF;Willison Martin Gwila akisoma hutuba fupi kwa mgeni rasmi. |
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Agape wakiwa wanashuhudia msafara wa waziri wa mambo ya ndani akiwasili kanisani hapo |
Viongozi wa wakuu wa Agape wakimpungia waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh Mwigulu Nchemba wakati akiondoka kanisani hapo |
Askofu Mkuu wa Kanisa la Agape akinena jambo na moja ya viongozi wa kanisa hilo. |
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa katika kanisa la Agape Wuema Sanctuary Ministriesinternational tanzania meseriani Arusha. Picha na Elia Baraka |
0 comments:
Post a Comment