Comments


UNITED WAONDOKA NA POIN 3 AMFILD

Manchester united walikuwa nawakati mgumu wakuhakikisha kuwa wanaondoka na point 3 muhimu mbele ya Liverpool
Na hatimae goli la dk ya 76 lililofungwa na Rooney lilitosha kuwapa poin3 muhimuu
Huku golkipa wa united DEvid DEgea. Akiibuka shujaa wa mchezo. Huo kwa kuokoa michomo miwili ya moto iliyokuwa inaelekea kimyanii.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system