Comments


Wenger nitaiacha Arsenal ifikapo 2017





Kocha wa Arsenal, Arsenal Wenger
Kocha mkuu wa Arsena, Arsenal Wenger


 kocha mkuu wa arsenal,Arsenal wenger amefunguka na kusema kuwa ataiyacha timu hiyo ifikapo 2017.
Kauli hio ya wenga aliyoitoa katika mkutano wa mwaka ulifanya mashabiki wa timu hiyo kuanza kuzungumza mengi juu ya kauli hiyo .
wakiandika kwa nyakati tofauti tofauti katika mitandao ya kijamii baadhi ya mashabiki wa arsenal walio onekana kuwa na kauli tofauti tofauti huku wengine wakidai kuwa wenger amechelewa kutoa kauli hio.
wengine nao wakisema kuwa haiwezekani kocha wao aiache timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa mkataba wake mwishoni mwa msimu ujao
Wenger yeye kwa upande mwingine alisema kuwa ''nimekusudia kuendelea na kibarua changu hadi mwishoni mwa mkataba wangu kwani lengo langu ni kuiacha timu ikiwa na mafanikio ili nikumbukwe niendapo.
kitu kikubwa kwangu nikuona kuwa naiacha klabu ikiwa vizuri. alisema wenger}
Hadi sasa wenger ndie aliye itumikia klabu ya ligi kuu england kwa muda mrefu, Huku akifuatiwa  na aliye kuwa kocha mstafu wa  man united Sir Alex Ferguson.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system