Comments


Mitindo ni kitu ambacho nakipenda sana na ni ndoto yangu ya kwanza kabla sijawa muigizaji>>Nisha

Image result for nisha


Muigizaji wa filamu, Salma Jabu aka Nisha amesema licha ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu anafungua kampuni yake ya mavazi itakayokuwa ikiwavalisha mastaa mbalimbali. 
Nisha amesema kuwa tayari ameshaanza kuwavalisha wanamitindo kama Hamisa Mobeto ili kuonesha uwezo wake. “. […]
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system