Comments


Martial avunja rekodi ya christian ronaldo


Mchezaji mpya wa Manchester United, Anthony Martial baada ya jana usiku kufunga goli dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi katika michuano ya klabu bingwa Ulaya, ameweka rekodi ambayo ilimshinda Cristiano Ronaldo akiwa Old Trafford. Akiwa na miaka 19 Martial ameshafunga magoli 5 katika mechi 9, huku katika umri huo huo Cristiano Ronaldo ilimchukua mechi 39  ndipo alifunga magoli hayo.

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system