Comments


Chelsi ya chapwa tena

Klabu ya chelsea imeendeleza wimbi la kufanya vibaya katika michezo ya ligi kuu england mara baada ya kuchapwa goli 2-1 na westham unted.
Kichapo hicho kinaifanya chelsea kufugwa mechi 5 mpaka kufikia sasa mara baada ya kukubali kichapo hicho.
chelsea matumaini yao yalianza kuzimwa mara baada ya beki wao nemanja matic kupewa kadi nyekundu dk ya44 kipind cha kwanza cha mchezo.
Hivyo  chelsi wakijikuta wana mlima mzito wa kupanda  kutokana na kadi hio, Mbali na hilo kocha wa chels hakufurahishwa na kadi hio nakuanza kumlalamikia kamisa wa mchezo huo kitu kilichopelekea morinho kupandishwa jukwaani.
Nakufanya wachezaji wake kufedheheka zaidi ,hadi filimbi ya mwisho  westham2 chels1

Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system