Comments


Mama Diamond Naogopa mwanangu asishuke kimuziki –

Image result for mama diamond

Image result for mama diamond

Mama yake mzazi na Diamond, Sanura Kasim amesema kitu kinachomkosesha raha siku zote ni kuwaza itakuaje kama mwanae akishuka kimuziki! Ameiambia Bongo5 kuwa kama mama mara nyingi anakuwa na wasiwasi juu ya maisha ya mwanae. “Muziki una changamoto sana kama hujakaza unaanguka,” alisema. “Nakuwaga na wasiwasi mwanangu kama akishuka! Kwa sababu washindani wapo wengi, unajifiria.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system