Comments


HII HAPA SABABU YA NAY WA MITEGO KUSHIDWA KUTOA FILAMU YA SALAMU

Image result for ney wa mitego





Image result for ney wa mitego

Nay wa Mitego aeleza kwanini hakuweza kutoa filamu ya ‘Salamu Zao’

Rapper Nay wa Mitego hatimaye ameeleza kitu kilichomkwamisha akashindwa kuandaa filamu ya Salamu Zao. Nay ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kumalizika kwa shooting ya video ya Salamu Zao walipanga kuendelea kushoot filamu hiyo lakini hawakufanikisha. “Kuna vitu vilitokea katikati tukashindwa kuendelea kufanya movie,” amesema. “Kwanza kulikuwa na Mjerumani ambaye alikuwa anataka kusimamia suala la ubora, […]
chapisho la tarehe 15/10/2015
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system