Comments


Mbunge Wa Ludewa Deo Filikunjombe Afariki Dunia Kwa Ajali Ya Chopa





Chopa ilikuwa inatumiwa na Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.
Chopa iliyokuwa inatumiwa na Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.
 Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe amefariki dunia kwa ajali ya Chopa ambayo alikuwa anaitumia kwa ajili ya kampeni.
Kwa mujibu wa Meya wa Manispaa ya Ilala Jery Slaa amethibitisha kutokea ajali hiyo ambayo pia amempoteza baba yake.
Amesema kwamba anamshukuru Rais Jakaya Kikwete, Dr John Magufuli, IGP Ernest Mangu, Katibu mkuu Dr, Meru na maafisa wa TCAA na wote walioshiriki kuwatafuta wahanga wa tukio hilo

Aidha. rubani Capt. William Slaa ambaye ni baba yake na pia amempoteza Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.
Katika tukio hilo, Chopa hiyo ilipata ajali kwenye msitu wa Selous ambapo ndani kulikuwa na Rubani, Mbunge Filikunjombe na abiria wengine ambao wote wamefariki dunia wakitokea Dar es salaam kwenda Ludewa.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system