Comments


Waziri Amkingia Kifua Daktari Aliyeua Simba Zimbabwe

Daktari Palmer.
Daktari Palmer.
Daktari wa meno ambaye alisababisha hali ya taharuki baada ya kuuawa kwa Simba nchini Zimbabwe hatashtakiwa kwa kuwa alikuwa na kibali cha kuwinda.
Walter Palmer alikubali kumuua Simba aitwaye Cecil lakini alikana kutekeleza shughuli za uwindaji kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa Waziri wa Mazingira wa Zimbabwe Oppah Muchinguri alisema Palmer hawezi kushtakiwa kwa kuwa alikuwa na vibali vyote. Pia Bibi Muchinguri amesema Zimbabwe itatathimini upya namna inavyotoa leseni za uwindaji.
mashtaka kuwa alishindwa kuzuia uwindaji haramu.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system