Comments


MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA AUAWA


mawazo (2)
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. mawazo (1)
Alphonce Mawazo alipokimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Geita kabla ya kukumbwa na mauti.
Katoro, Geita
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia Chadema, Alphonce Mawazo ameuawa leo baada ya kushambuliwa kwa mapanga kichwani na watu wasiofahamika wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake katika kata ya Ludete, Katoro mkoani Geita
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system