Comments


HUDDAH AMUWEKA WAZI MPENZI MWINGINE


Huddah-Monroe-Image-from-izvipi-533x600








MREMBO huyo ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia akaunti yake ya
Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake mpya.
Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.
Huddah aliandika: “Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye uhusiano na mwanaume mwingine ambaye naamini tutaendana sawa.”
Ujumbe huo ulionekana kupokelewa tofauti na baadhi ya mashabiki ambapo wengi walimtaka mrembo huyo
kutulizana na mpenzi mmoj
a.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system