Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema kuwa hana haki ya kuishinikza Chelsea kununua wachezaji wapya wakati wa dirisha la uhamisho mnamo mwezi Januari.
''Ningependa sana kuwa na wachezaji nilio nao.Nafurahia wachezaji nilio nao, nawaamini wachezaji hawa'',alisema Mourinho.
Chelsea itaialika Norwich nyumbani katika uwanja wa darajani jumamosi hi
.Chelsea inahusishwa na uhamisho wa nyota wa klabu ya Barcelona Lionel Messi na kiungo wa kati wa Juventus Paul Pogba mnamo mwezi Januari.
Hatahivyo,Mourinho anataka wachezaji alio nao kuiondoa klabu hiyo katika nafasi waliopo sasa.
Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza wamepoteza mechi 12 kufikia sasa na wako katika nafasi ya 16 katika jedwali la ligi.
0 comments:
Post a Comment