Comments


APANDWA NA KISIRANI BAADA YA KULETEWA BILI KUBWA HOTELINI>>>

Fikiri kabla ya kutenda   huyu jamaa baada ya kuletewa  bili ya huduma aliyosogezewa baada ya kuhudumiwa katika hoteli moja Marekani, alipandwa na kisirani na , maamuzi yake ikawa ni kutoka nje ya mgahawa na kuingia ndani gari yake kwa hasira.
tukio zima  lilinaswa na camera ya CCTV, Oklahoma Marekani,
 mzee aliyefanya tukio hilo ni John Parsley ambaye ana umri wa miaka 62… hasira yake baada ya kuletewa bili kubwa aliona aingie kwenye gari ya kugonga mlango wa hoteli mpaka meza ya mapokezi.
Hata hivyo
Wanawake wawili waliokuwa sehemu ya mapokezi wamekoswa kidogo tu kugongwa, Polisi wakaja na kumnasa jamaa huyo wakaondoka nae chini ya ulinzi…




                                            Video ya tukio lote hii hapa



Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system