Comments


Mbwana Samatta bega kwa bega na Yaya Toure Tuzo za CAF

November 2 shirikisho la soka barani Afrika CAF limetangaza majina 1o ya wachezaji soka wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika sambamba na majina ya wachezaji 10 wengine wanaowania tuzo hiyo kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika.
December 14 shirikisho hilo limechuja majina hayo 20 ya wachezaji waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika na wachezaji wanaowania tuzo hiyo ya Afrika kwa ujumla, mchujo uliyofanywa naCAF umepelekea kupatikana kwa majina matatu kwa kila upande.
IMG_20151214_212925
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
Majina yaliyotajwa kwa wachezaji wa ndani ya Afrika ni Mbwana Samatta mtanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Robert Kidiaba golikipa wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Kongo na  Baghdad Bounedjah wa Algeria anayekipiga katika klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia.
IMG_20151214_212858
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ligi za ndan
i
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system