Comments


FC Barcelona yabanwa mbavu katika uwanja wake wa nyumbani Nou Camp (+Pichaz&Video)



Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, klabu ya FC Barcelonaambao ndio timu inayoongoza msimamo wa Ligi, ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Deportivo La Coruna katika uwanja wake wa Nou Camp jijini Barcelona.
4096
FC Barcelona ambao walikuwa na rekodi nzuri katika michezo yao ya Ligi Kuu msimu huu, walilazimishwa sare ya kufungana goli 2-2 dhidi ya Deportivo La Coruna na kuambulia kugawana point moja moja kwa pande zote mbili, licha ya kuwa FC Barcelonawalikuwa na washambuliaji wao nyota Messi, na Suarez hawakufanikiwa kupata matokeo mazuri.
1967
Timu ya FC Barcelona ndio ilikuwa ya kwanza kupata goli la kuongoza dakika ya 39 kupitia kwa Lionel Messi, wakati Deportivo La Coruna wakijiuliza namna ya kusawazisha goli hilo Ivan Rakitic akapachika goli la pili dakika ya 62, Deportivo La Coruna walianza kurudi mchezoni dakika ya 77 baada ya Lucas Perez kupachika goli la kwanza na baadae Alejandro Bergantinos dakika nne kabla ya dakika 90 kumalizika akapachika goli la kusawazisha kwa Deporti


Video ya magoli ya FC Barcelona Vs Deportivo La Coruna


Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system