Comments


MOURINHO TUTAMALIZA TOP 4



Jose Mourinho
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anataka kutimiza ndoto yake kwa kumaliza miongoni mwa timu nne bora mwishoni mwa msimu huu.

Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza,wako katika nafasi ya 14 wakiwa pointi 14 nyuma ya timu inayoshikilia nafasi ya nne.
''Pengine tuna fursa ya kufanikisha ndoto hii kwa kumaliza katika nafasi ya nne,ijapokuwa inawezekana lazima tujaribu'',alisema Mourinho.

Chelsea inaelekea kukabiliana na Leicester katika ligi kuu ya Uingereza JUMATATU UCK.
Mchezo m'baya wa kilabu ya Chelsea's msimu huu umezua maswali mengi miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo ,lakini Mourinho amesema ana hakika atasalia kuwa kocha Stamford Bridge.
Share on Google Plus

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Disqus Shortname

Comments System

Disqus Shortname

Comments system